Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Hii nakujibu kwa wivu mkubwa mimi nipo marekani ni daktari mwanafunzi now nipo jeshi kwa mafunzo na nalipwa pesa ndefu wewe kiazi unaniwaza ? Baba yangu anayo pesa mama pia akula pesa ndefu bongo bado urithi wa babu, acha ufala fuata mambo yako kiazi wewe
Acha uongo dogo. Upo Marekani ya Ikungi na miwani yako au? 😁😁
 
Back
Top Bottom