Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kataa hiyo Roho ya kuitwa malayawengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.
Inakufuatilia