min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wewe badili I'd tu bwashee , kiazi wewe🤣Acha uongo dogo. Upo Marekani ya Ikungi na miwani yako au? 😁😁
Wewe badili I'd tu bwashee , kiazi wewe🤣Acha uongo dogo. Upo Marekani ya Ikungi na miwani yako au? 😁😁
Mna haja ya kuchapwa viboko vya kutosha.
Ww umechanganyikiwaWewe badili I'd tu bwashee , kiazi wewe🤣
Haupendezi sasa lakini si una dudu kabisa wewe 😂😂Kagongwe huko upwiro labda wa huko nyuma, mwanaume mzima unanionea wivu,yaani kumtaja tajiri mishipa ya shingo imekutoka
Mi sina ID nyingi kama mjuba Lamomy 😁😁Wewe badili I'd tu bwashee , kiazi wewe🤣
Mfuate pm haukua na haja ya kusumbua great thinkers humu
Tulia ww mbea Koko Wanaume wa kweli watafutaji hata huu mtandao hawaujui, nikasema unipe laki mbili hapo unayoWanakusumbua au unawasumbua 😂 facebook
Sasa kinakuuma nini 😹😹Kweli nina upwiru sana lakini sio kwa uyo mary wenu
Yaonyesha Marry ni mzuri,tulisoma na msichana anaitwa Marry,mama ake alikuwa Mwalimu,Marry alikuwa mzuri,wa sura,umbo,sauti,mcheshi hakasiriki hata umuudhi vipi,alikuwa mzuri sana.Ww ndiye tajiri 😂
Nakuona Kisugu katika moja na mbili. 😁😁😁😁Sasa kinakuuma nini 😹😹
Si utulie Mwachi uone mtanange..!!
Kijana nikupe hela umefanya kazi ganiTulia ww mbea Koko Wanaume wa kweli watafutaji hata huu mtandao hawaujui, nikasema unipe laki mbili hapo unayo
Ndio yeye 😂😂Kwani huyo wa kwenye avatar ni wewe....🙄
Ndiyo mm karibuKwani huyo wa kwenye avatar ni wewe....🙄
Nacheka kama mazuriSasa kinakuuma nini 😹😹
Si utulie Mwachi uone mtanange..!!
Nitokee hapo na bando lako la miatano mnafeki maisha kuwaridhisha watu msiowajua,ishi kihalisia kama mmKijana nikupe hela umefanya kazi gani
Memmiss mwambieNgoja aje