Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

IMG_1246.jpeg
 
Anaitwa Tajiri sina baya.

Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.

Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?

Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?

Tajiri karibu sana

Mwandiko wa kiume huu na inawezekana ukawa ndo huyo unayemtaja. Unajaribu kujipa kick
 
Anaitwa Tajiri sina baya.

Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.

Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?

Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?

Tajiri karibu sana
Be smart
And just use social network for personal gain

Mnakosea Sana Mtu mmoja anapofungua multiple I'd na kujiita mwanamke haipendezi.

Ipo siku utahitaji msaada utakosa mssichukulie Poa JF ni kiwanda kikukbwa


Asante
 
Back
Top Bottom