Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Sasa huyu jamaa yako ana akili gani,jaribu kufuatilia comments zake,tangu kunakucha hadi saizi yupo mtandaoni kazi anafanya saa ngapi
Hii nakujibu kwa wivu mkubwa mimi nipo marekani ni daktari mwanafunzi now nipo jeshi kwa mafunzo na nalipwa pesa ndefu wewe kiazi unaniwaza ? Baba yangu anayo pesa mama pia akula pesa ndefu bongo bado urithi wa babu, acha ufala fuata mambo yako kiazi wewe
 
Back
Top Bottom