Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Langu litakuja baada ya Uchaguzi kupitaMmmh ko ww huna la kwako
Langu litakuja baada ya Uchaguzi kupitaMmmh ko ww huna la kwako
No comment rafikiKwaniii😂😂🙌🏾
😂😂😂 we sindio akili yako ina changamka vzr ila nacheka sana ase😹😹😹 Shem wako alisema yani minyuzi ya hovyo hovyo cute unaipenda sijui kwanini?? 🤣
Basi sawLangu litakuja baada ya Uchaguzi kupita
Ukikosa uzembee😂😂😂😂😂
Kaanzisha uzi siku mbaya 🐒Na baadhi ya wanao comment nao wamepagawa hatari, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakae kwenye foleni headgirl nipo hapa atakayevuruga mstari namlamba viboko..!! [emoji81][emoji81]
Poor BrainTajiri Sina BAYA log in kwenye account yako uje ujibu ili uzi ufungwe.
Wachaaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuku wa kienyeji mtamu asikwambie mtu
Wewe kuto nitaka nifuraha kwangu kwani nina tatizo la kuwaonea huruma kwa wadada wanaonitakaHiloooo sikutaki
Kauli yetu ni moja WF (Wapange Foleni) 😹😹Nashangaa baadhi ya waja wamekasirika, utadhani inawahusu, bahati ya Tajiri, wao wanapaparikia Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiniambie sasa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mwanzo nilikuwa nawaogopa nikaja kugundua wananienjoy sasa tunaenda sawa[emoji23]
karibu sana best kwa ushaur,story,n.k tumeumbwa kutegemeana hakuna mkamilifu chini ya jua.Asante sana ❤️
Yupo online mbonaTajiri Sina BAYA log in kwenye account yako uje ujibu ili uzi ufungwe.
Sako Kwa bako😂Usiniambie sasa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ko sahivi ni bampa to bampa, woiiiih
Ni pm namba basi kesho asbh nikitoka Lindoni nikutumie hata hela ule firigisi hapo KinyereziBasi saw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie ndo natamani makombora ya [emoji1134] na [emoji1130] yahamie hapa hivi kwa uzi.Uduguu umefika kwenye vita [emoji81][emoji81]
Huu mtandao ni Mali yako auHivi we dada huku JF ulifikajefikaje maana huendani kabisa na JF
😹😹😹Ata busu tu akili itulie 😂