Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Hapana napenda stori, ukija tutakaa tutaongea siyo unatumiwa pesa na mbabu humjui,ukirogwa je.
Nipe location basi PM mimi sio babu halafu mimi ni shombe shombe angalia picha yangu hapo kwenye avatar
 
Yaan nimeitwa nikiwa huko tsup, naambiwa dada ako marry kakiwasha, mie huyu mbio mbio hadi hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh 😂😂😂
 
Kila m1 atafikiwa kwa wakati wake, watulizanee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marry kawafikia kwa kazi yake iliyotukuka hawamdai..!! 😹😹

Wasubiri kububujikwa kwa utraamu wa machozi..!! 🤣
 
Back
Top Bottom