cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwachiluwi Tulia basi mtoto mzuri Marry Diana anataka niende Kinyerezi weekend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwachiluwi Tulia basi mtoto mzuri Marry Diana anataka niende Kinyerezi weekend
😂🙏😹😹😹 Marry mitano tena!!
Sawa karibuUtaniona weekend vizuri
Aweee!! Nipitwee na jambo hili afu? Wee kuwezaaa? Lol.Kakosea sna tena sana
Hahahaha😂😂😂Anaitwa Tajiri sina baya.
Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.
Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?
Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?
Tajiri karibu sana
Karibu kaka MshanaHahahaha😂😂😂
Mpaka mshana kaja umemuita weweAweee!! Nipitwee na jambo hili afu? Wee kuwezaaa? Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutuu..!! 😹😹Mimi sipo kwenye hiyo foleni ya walugha lugha gademiiit.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiajee jinsi nilivyotoka tsup na kuja hapa, doohEeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 nitakupigaThubutuu..!! 😹😹
Wewe najua utazama piem na id nyingine kwa Marry..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiMarry kawafikia kwa kazi yake iliyotukuka hawamdai..!! [emoji81][emoji81]
Wasubiri kububujikwa kwa utraamu wa machozi..!! [emoji1787]
Kama vile nyama inaunguaa sio 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiajee jinsi nilivyotoka tsup na kuja hapa, dooh
Haswaaaah.Jf kuna mda inaku changamsha
Tena huyu ni msumbufuuu,Thubutuu..!! 😹😹
Wewe najua utazama piem na id nyingine kwa Marry..!!
Babuu panga foleni, usisahau dawa zako za Viagra, kufia vifuani hatutaki.Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Da Mau pengo lake limezibwa na Marry basi sie burudani 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
Yaani unawaza kupika jibaba zima,Kama vile nyama inaunguaa sio 😂
Aaaah wapiii?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka mshana kaja umemuita wewe
😂😂😂😂Mnaniua mbavu mniacheeeeKakaa kishamba et kuna mmoja kasema mbona hafananii kuwa jf 🙌🙌🙌