Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Anaitwa Tajiri sina baya.

Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.

Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?

Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?

Tajiri karibu sana
Kama wewe ni huyo ktk profile basi wewe ni certified seller wa Kei.
 
Kama vile nyama inaunguaa sio [emoji23]
Nilikua nawachachua watu kwa group, nimewaacha hapo, mie huyu hapa, nadeveleka na uzi wa Da Marry.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena huyu ni msumbufuuu,
Halafu alivo muongo eti yupo marekani.wakati alinitumia namba yake Yenye code za hapa
Oooooh kumekuchaaaaa!! Em sema yotee Da Marry, usibakize kituuu
Mambo nayapendaa hayaaaaa, eeeh afu ikawajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiajee jinsi nilivyotoka tsup na kuja hapa, dooh
😂😂😂mi mwenyewe sichomoki kwenye huu uziiiii ad kieleweke
 
Oooooh kumekuchaaaaa!! Em sema yotee Da Marry, usibakize kituuu
Mambo nayapendaa hayaaaaa, eeeh afu ikawajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani amkubali domozege dadaaa,
Kujieleza tu hajui, halafu linajifanya kupaniki
 
Oooooh kumekuchaaaaa!! Em sema yotee Da Marry, usibakize kituuu
Mambo nayapendaa hayaaaaa, eeeh afu ikawajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂Umekaa kimbeaaaa ad kwenye uandishi
 
Igweeeeeeeeeeee [emoji81][emoji81][emoji81]
min -me kwahiyo Mangi unaweka booking piem halafu huku unakuja kuvuruga foleni na kutishia kuchoma shule??
Yaan anataka jimbo amiliki pekee, wakati watia nia ni wengi.
Hakuna kupita bila kupingwa hapa, lazima wajumbe wafanye yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom