Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Wewe kitambo nilishakukataa silombi mibwabwa yenye sugu za ugoko..!!

Sura lenyewe bovu km maku iliyotiwa ikashindwa kukojozwa..!! [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi kaandikiwa Tajiri Sina BAYA lakini waungwana mlivyocharuka hamuelewi mnataka kuvuruga foleni..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Nashangaa baadhi ya waja wamekasirika, utadhani inawahusu, bahati ya Tajiri, wao wanapaparikia Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaitwa Tajiri sina baya.

Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.

Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?

Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?

Tajiri karibu sana
Wewe ni koleo la mafia 😂😂
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Uzuri wa JF mnapingana wenyewe kwa wenyewe halafu taratiiiiibu mnamzamia Marry piem kwa id nyingine..!!
Si kasema hapa, kuwa wanamsumbua huko PM, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom