Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Wewe ss hivi ushaaribika tumekuambukiza ugomvi…!! 😹😹

Vipi sasa Marry uliondoka naye? 😜
Nimegundua nikinywa bia nyingi kuna namna nakua mgomvi wa moja kwa moja , mimi ni mgomvi ila sio wa moja kwa moja kama vile asee


Hizo sio type yangu na wew😅
 
Huyu falah nimemkanda karipoti comments mods wamefuta, vin muoga sana hajiamini anatamani battle ila kunikabili hawezi..!! 😹😹

Yeye km anajiamini aje na id yake verified nimuonyeshe..!! Kuja na id ya majalalani kwenye uwanja wa vita huo ni uoga na kutojiamini..!!
Nani huyo mkuu? Mimi au? Kwamba mi nimekuripoti au huyo dada?

Mi rafiki yako na sina bifu nawe kwanza nataka nikupige pipe we mrembo.
 
Back
Top Bottom