Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Shida mwanaume wa sasa ukimjia na gia hiyo ana kukimbia muache mwanaume aseme yeye nataka nikuoe lakino sio wewe kila ukimpigia mwanaume simu unakuja lini nyumbani anakuomba utamu unasema peleka barua kwanza nan atakaa hapo? Sasa ufanye hivyo uwe pisi kama paula ila kafupi kama nguchiro duh utachelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwachi acha uongo wee, Lol
 
Anaitwa Tajiri sina baya.

Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.

Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?

Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?

Tajiri karibu sana
Andika PM namba yako ndiyo mimi hii ni akaunti yangu nyingine malaika
 
Back
Top Bottom