Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Ushakua popo wewe πΉπΉUnaenda wap mapema hii
Siku hizi nalala mapema sana saa 5 tu nishaangusha gariUshakua popo wewe πΉπΉ
πππππnaona ulienda kuchamba koo umerud sasa na koo laiiiiniii sauti haukwaruzi tena
Unapatika maeneo gani shemeji yangu..mpenzi wa moyo wangu,,usingizi wanguπππCammilla jambo shemeji
Comrade ni zaidi ya yule Dem choe sae gwang wa kwenye six flying dragons π€£πdosho12 amjibu maana wengine hatatuelewaπ
Comrade ni zaidi ya yule Dem choe sae gwang wa kwenye six flying dragons π€£π
Muhyol ali ambiwa uki muona kimbia ππ€£Dadeqπ
Ebu tuoneπMuhyol ali ambiwa uki muona kimbia ππ€£
we ni mwembamba?ππππ
Mambo ya wembamba yanatokea wapi tena??mimi ni bonge la dada πππwe ni mwembamba?
Naweza kuwa mwembamba pia ukihitaji iwe hivoπ€£π€£π€£we ni mwembamba?
Lady why don't you sit downAnaitwa Tajiri sina baya.
Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.
Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?
Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?
Tajiri karibu sana
Nisha kujua lumbagoNaweza kuwa mwembamba pia ukihitaji iwe hivoπ€£π€£π€£