MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.
watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa
hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,
sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....
kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
sijawahi kutobolewa spika,kwa hiyo hata yule mdada wa kuuule anatobolewa spika!!!!
Wazungu na waarabu ni mtu na mpwa wake wote wanapenda kupita njia ya dampo, jiandae.
Hiyo ni kama "kachumbari" abdalasini, iliki na vikorombwezo vingine kwenye Pilau. Kama uko tayari kutobolewa Spika shwanga ila kama hauko tayari baki na Kiserengeti Boy chako cha kata mtwange Maisha.
heaven on earth:daaa...sikutarajia kucheka.nmechekaaa!hapo umeshamsingizia shetani na mambo yake yote.hapa leo sio yule mtarajiwa ila mtu anatumia tu kompyuta yake?mimi hoiiiiii.....
Shida kweli kweli!teh teh ...samahani lkn,...napenda kuzaa nao tu!a bby gal hiv
Immature girls who don't know what they want......What worries me most is the danger that so many girlz will read these words, read whatever else is on the thread, and think, Yes,, finally, I know what I should do to get a muzungu''...
shosti na wewe umeona,waniache muke ya muzungu miaka 800
stress za maisha hizi zikizidi unakuwa kama unavuta bangi
kumbe stress tu...
ndio maana hata mimi nikiolewa na mzungu Mbantu wangu siwezi kumuacha,safari za Bongo kila mwisho wa mwezi
sababu;NAPELEKA MZIGO TZ,
stress za maisha hizi zikizidi unakuwa kama unavuta bangi
kumbe stress tu...
stress za maisha hizi zikizidi unakuwa kama unavuta bangi
kumbe stress tu...