Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

muke.gif
muke.gif


Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.

watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa

hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,

sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....

kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
muke.gif

Wazungu na waarabu ni mtu na mpwa wake wote wanapenda kupita njia ya dampo, jiandae.
 
sijawahi kutobolewa spika,kwa hiyo hata yule mdada wa kuuule anatobolewa spika!!!!

Hiyo ni kama "kachumbari" abdalasini, iliki na vikorombwezo vingine kwenye Pilau. Kama uko tayari kutobolewa Spika shwanga ila kama hauko tayari baki na Kiserengeti Boy chako cha kata mtwange Maisha.
 
Hiyo ni kama "kachumbari" abdalasini, iliki na vikorombwezo vingine kwenye Pilau. Kama uko tayari kutobolewa Spika shwanga ila kama hauko tayari baki na Kiserengeti Boy chako cha kata mtwange Maisha.

Kiserengeti boy changu kinaningangania kinitoboe hizo spika Sa zikitobolewa

mziki nitausikilizaje tena,nimtwange tena maisha Khaaa HAPANA
 
mie soon namwoa kibonge mzungu wangu lizy ana wadogo zake ngoja nikufanyie mpango ntapata wa kuongea nae kiswahili huko huston tx
 
Ahaaaa!! Nimekuelewa kumbe kuolewa na mzungu siyo kimapenzi bali pesa au sifa mradi watu wakuone na mzungu!!! Lakini pamoja na kupeleka mzigo Tz Wazungu wana wivu huenda husipate ruhusa ukaishia kudodea ndani hata wabantu wa ughaibuni husipate muda wa kuwapata watulize mzuka. Pili akishindwa mahali pake atakimbilia 0713
Dada yangu achana na mzungu, wanasema kula kidogo lakini na ridhika na hicho, kumbuka mtaka nyingi na saba upata mwingi msiba
ndio maana hata mimi nikiolewa na mzungu Mbantu wangu siwezi kumuacha,safari za Bongo kila mwisho wa mwezi

sababu;NAPELEKA MZIGO TZ,
 
Back
Top Bottom