MBWA WA MANZESE
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,621
- 614
![]()
![]()
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.
watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa
hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,
sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....
kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa![]()
Wazungu na waarabu ni mtu na mpwa wake wote wanapenda kupita njia ya dampo, jiandae.



