Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

wasiwasi wangu cjui unamtambuaje mzungu me pia mzungu ila ukiniona kwa wasiwasi unaweza sema jaluo..kama upo tial ni pm
 
what? this lady Heaven on earth is single? ..... wacha niandae ng'ombe 45 niswage mpaka daslam fasta!
 
Last edited by a moderator:
Fanya bidii heaven on earth utii kiu yako.wameufungulia dunia kuwa unavyotaka
 
nakusifu sana wewe mwanamke kwa kuwa muwazi, mimi nashindwa kabisa huwa nahisi kama natongoza
 

Mmmmhhhhh! Ulimpata miaka miwili turn anaanza kutumia Viagra maana stamina pia huwaga hawana wale achilia mbaloli vibamia!
 
Last edited by a moderator:

Ukiweza nenda Arusha Maasai camp au ViaVia,pale hata siku 3 hazitapita utakuwa unazungumzia ndoa sasa. Kila lakheri.
 
Last edited by a moderator:
Alafu wanaume wa kizungu waliowengi hapa Bongo ni nadra sana kupenda na kuoa mwanamke anaejiheshimu...type za madem wao ni mcharuko charuko fulani hivi au si ajabu akamuoa ata changudoa lakini siyo mwanamke anaejiheshimu.
 
mifano gani ndio unipe!!!mbona dada angu Natalia anakula bata na mzungu wake

na mapenzi yao ni kama yameanza jana tu

Kama vipi nikuunganishe kwa malipo ya kunionjesha kabla hujaenda kwa huyo mzungu!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mzungu mweusi.
 
Nilikua nakutafuta MillionHairs my dear...
kishuka ndio kina nani hao

Kishuka ni mzungu bahili sana na mpenda mambo ya kihuni huni hivi...anaweza kuwa na ela lakini ni mgumu kuitumia'iwe kuonga au japo kusaidia mtu...utakuta anazunguka na maji ya kilimanjaro mkononi kwa siku mzima au hata siku mbili,kwenye begi yake ana mihogo ya kuchoma au mkate wa slace. Huyo ndio kishuka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…