Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!




Bado haueleweki. Yaani unaonekana ni mtu uliyezoea kumeza au kula mihogo kwa kishindo na sasa unataka kutulia na kuficha ufuska wako unahofu vibamia japo unataka kuolewa na wenye hayo mashamba ya bamia. Ni nini haswa unachotaka?
 
Ulishampata mume mzungu?
 
Hehehehehe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hata mm iko penda veve joo home nikuonee teh teh teh umalaya huu hatari sana.yaani uko serious kabisa kumpenda mdhungu ww ,chunga sana tamaa zako wabongo wapo tu wengi wenye malovee ya ukweli na pesa zao ila uwe na kiuno matata.
 
"Waarabu wenye masheli hutaki?? "
 
Njoo kw
Njoo kwangu, nijipatie mtoto mzuri
 

Heaven on Earth .... Muitaliano wa Mwamvita atakufaa?
 
07155 kama haijatumika utampata ila ujiandae kuitoa kwake....huko kwenye kikojoleo hadi akihitaji mtoto kila la heri
 
Nop Mkuu! Waburushi original are from IRAN

Hakuna mahali nimekosea rafiki...

Neno Persia kama nilivyoandika ndio Iran ya leo...na Iran ni moja ya mataifa yanayotambulika kuwepo katika ghuba ya Uajemi...

Kwa hiyo nilichoandika ni sawa kabisa na kuandika Wairan ndio Waburushi...

Ref:
Persian : a native or inhabitant of ancient or modern Persia (or Iran), or a person of Persian descent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…