Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!


No. Siungi mkono hoja.. 100%
 
Last edited by a moderator:
Muthungu huyo apo anaitwa culkin (kevin) macaulay, tena uki mwambia upo Tz ndoa leo leo kwani utakuwa ume msaidia kuja kuishi sehem sarama na tulivu kula sembe free from stress akiwa hupo na ww kibebi chake.
 

khaaa!
sa ndio nini kutumia akili ya necta wkati mi nilikuwa kwenye weekly test tu!
ah!
 
Miss Strong naomba usinikatishe tamaa mwenzio katika hili.......

huko kwenu hamna wazungu!!!!!!!!!

Mie tena nikuvunje moyo tena Heaven on earth akaaaaa.......vip dread ushaanza kufuga au unaenda kwa style gani?

Sema shost vibamia umesema hujali?....vifurushi vyao vya muda wa maongez kidogo kama nini (xtreeme pack) kama ulizoea mega boxi cha siku imekula kwako.

Kwetu wapo ndo najaribu kuangalizia yupi atafaa.....ulitaka wa umri gan?au mzunguuu tu wa umri wowote?
 
Last edited by a moderator:

Ni ujinga wa kiwango cha juu sana kudhani au kudai kuwa wazungu wana mapenzi ya dhati. Kwanza mapenzi ya dhati ndo yakoje?

Watu kila siku tunawaona hao wazungu wakizini na kuenda nje ya mahusiano na ndoa zao lakini kumbe kuna wapumbavu na malimbukeni wanaodhani wazungu wana mapenzi ya dhati! SMFH!

Wazungu hao hao walionzisha matovuti kama Ashley Madison (inayo-promote na ku-facilitate infidelity) na SeekingArrangement.com inayounganisha ma-sugar babies na ma-sugar daddies (ambao wengi wako kwenye ndoa) ndo wana mapenzi ya kweli?

Hivi huu ujinga wa kuamini dhana potofu utakwisha lini?
 
we tafuta mihela tu ......wenzio wanatulalamikaia eti ni wabaridiii!
 
Halafu kwa kutumia mantiki ya mtoa hoja/mwanzisha mada kwamba wazungu wana mapenzi ya dhati.

Je, yeye mwanzisha mada ni mtu gani - ni Mzungu au Mwafrika/mweusi?

Kama ni Mwafrika/mweusi, je, yeye ana mapenzi ya dhati? Maana si kasema wazungu wana mapenzi ya dhati, basi, yeye kama siyo Mzungu hana hayo mapenzi ya dhati. Ndivyo hivyo ilivyo?
 

hahaaa na mie mbona huwa natumia mega box,sa si itakula kwangu sasa,

Vibamia pia tatizo maana mitarimbo ya huku ni hatari aisee ila labda ntapata kifurushi cha maana

ngoja niendelee kutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…