Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Ni PM email yake bana,maelezo mengi sana sijasoma hadi mwisho mie

We, Heaven on earth, mbona unakuwa mkali kiasi hicho, kwani umenipa consultancy ya kukutafutia mume au baada ya kuona kuwa ni Mbabu unafanya haraka ili urithi GEPF yake. Mimi nakupatia wasifu wake halafu wewe unaniharas, unang'ang'ania kuolewa na Muzungu mbona hujaanza kufuga rasta.
 
Huku kote ni kuhangaika kwa wadada wa kibongo kutafuta maisha mazuri!! Usipoangalia utakuta video zako za faragha na huyo mzungu unayemtafuta! , ithink una matatizo ya akili ,"eti wakipenda wamependa kweli" ?
 
wengi walidhania hivyo lakin daktari alisema kuwa am Physically and mentally fit
 
We, Heaven on earth, mbona unakuwa mkali kiasi hicho, kwani umenipa consultancy ya kukutafutia mume au baada ya kuona kuwa ni Mbabu unafanya haraka ili urithi GEPF yake. Mimi nakupatia wasifu wake halafu wewe unaniharas, unang'ang'ania kuolewa na Muzungu mbona hujaanza kufuga rasta.

sa si hadi akufe,nikitangulia mimi nani atarithi hayo mafao
 
Back
Top Bottom