Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Nimejibu swali lako ulilouliza
Si umeniambia maswali yangu utanijibu siku nyingine?
Na sijui hiyo siku nyingine ni ipi na wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejibu swali lako ulilouliza
duh! Uzi unatembea!kweli imechoma!
Hivi nywele nazo zina karolaiti..??
Kwa jinsi uzi unavyotembea, inaonekana huyu shori amewasaliti wengi sana!
Eti nini...?? We sijui ukoje siku hizi... Umeanza kutumia laini mbili..??sasa niko Dar,arusha tena inashindikana.Dabo line network
moja ikiwa inazingua unatumia nyingine ni vizuri pia
Kuna mzungu jirani yangu naye alikuwa anatafuta mchumba mbongo sasa sijui kama atakufaa.
Pesa zipo zakutosha naamini kwa huyo mzungu shida zako zote na njaa zikuwa zimefikia kikomo.
Ila huyo mzungu ni mtu mzima a.k.a.mbabu sijui kama atakufaa!
Eti nini...?? We sijui ukoje siku hizi... Umeanza kutumia laini mbili..??
Si umeniambia maswali yangu utanijibu siku nyingine?
Na sijui hiyo siku nyingine ni ipi na wapi?
![]()
![]()
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.
watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa
hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,
sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....
kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa![]()
Umesema kwenye post yako #198 kwamba unatumia dabo line NETWORK... Nakushutumu kwa sababu huko nyumba hukuwa hivyo, umebadirika sana... SIJUI UKOJE...!!!kwani ni wapi nimesema natumia double line,mbona unanishutum sana
Wazungu wanapenda sana huu mtandao wa vijana ambao zamani ulijulikana kama MOBITEL TZ...Je uko tayari????????????????? Karibu.najua virungu vya kiafrica bomba sana,ila safari hii nahitaaji mzungu mie
lile nilijibu baada ya watu8 kuuliza tena.....
Umehadithiwa na nani?
Kumbe huwa namissiwa? Nilikuwa sijui.Heheh...mtaa upi nisiokauka miye...? Ennie ujue huwa nakumiss sana usionekana kipenzi lol...acha nijidai nawe maadamu leo upo nasi