Natamani kuolewa

Ila hayo maneno yatokanayo hapo Juu mbona ni makali sana? Mmm siyo Siri yamekaa kibazazi bazazi vile [emoji849] unafahamu imeandikwa "Mwanamke asiache kumstahi Mume wake" ?! Maana Yake ukiwa mwanamke ulieolewa Siku zote unatakiwa kujifunza na kujua namna ya kuepuka kumdhalilisha Mume wako , usiuseme udhaifu wake wa ndani Kwa Mtu yeyote hata mama yako Mzazi usimwambie! Jua Wewe namna ya kumsaidia Kwa upendo ! Usimwadhilishe Kwa Watu maana itakuwa ni kujidhalilisha Wewe mwenyewe! [emoji125][emoji125]
 
Punguza vigezo unawez pata toa hiyo degree yako mana maisha si degree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekusoma mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usilolijua ni sawa na Usiku wa giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekukubali kwa kufuatili but sio lazima yote ninayopost yawe ni matukio yangu Mimi, mengine ni ya ndugu jamaa na marafiki ambayo tuko katika harakati za kuyatafitia ufumbuzi.
So Act on the current post n not otherwise maana waweza kujichanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akusaidie hitaji lako mamy
 
Kila la kheri my dear...usijali utampata akupendae tena humu humu
 
yaani kuna magumu sana kwenye ndoa zingine ukiona MTU hadi umepata divorce kapitia magumu sana sasa nashangaa watu humu ndani wanaongea tu as if ni jambo Dogo sana na rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…