Natamani kuolewa

Natamani kuolewa

Ila hayo maneno yatokanayo hapo Juu mbona ni makali sana? Mmm siyo Siri yamekaa kibazazi bazazi vile [emoji849] unafahamu imeandikwa "Mwanamke asiache kumstahi Mume wake" ?! Maana Yake ukiwa mwanamke ulieolewa Siku zote unatakiwa kujifunza na kujua namna ya kuepuka kumdhalilisha Mume wako , usiuseme udhaifu wake wa ndani Kwa Mtu yeyote hata mama yako Mzazi usimwambie! Jua Wewe namna ya kumsaidia Kwa upendo ! Usimwadhilishe Kwa Watu maana itakuwa ni kujidhalilisha Wewe mwenyewe! [emoji125][emoji125]
 
Habari za wote humu ndani.
Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa Mara ya kwanza nilikutanq na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.
Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vzr tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.
Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namba ya kupenda.
Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza vigezo unawez pata toa hiyo degree yako mana maisha si degree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri!
Masuala ya degree, umri n.k Achana nayo! Angalia mwanaume anaejielewa na anajua kutafuta pesa. Mimi nimesoma chuo na jamaa anafanya kazi vodacom na kipindi kamaliza form 6 na kufanya kazi kwa Muda kadhaa vodacom alimuoa mkewe mwenye masters na akiwa assistant lecture UDSM na baada ya hapo mkewe kaenda kusoma PHD Kawa Dr. na anafanya kazi hapo UDSM. Afu mmewake ndo aliamua ajiendeleze kusoma degree na kafundishwa na mkewe class na kamaliza maisha yanaendelea, jamaa anafanya kazi vodacom wakati mkewe ni Dr. Udsm.
Kwa hiyo habari ya vigezo visivyo na maana achana navyo we angalia mwanaume anaejitambua.


Sent using Jamii Forums mobile app
nimekusoma mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, inaonesha yeye mwenyewe hajitambui wala hajui anataka nn ktk ndoa. Kaweka vigezo ambavyo havina mashiko kabisa na kimsingi vigezo hivyo havina msaada wowote ktk ustawi wa ndoa. Probably huyu dada ndio alikuwa wrong person kwa huyo mume wa kwanza. Akakae na ajipange upya.

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
usilolijua ni sawa na Usiku wa giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da imenilazimu kufuatilia threads za nyuma za wasichana/ wanawake wote wanaotafuta wachumba hapa...huyu nimepitia threads zake zote za nyuma, anyway labda mungu awe kakubadilisha posts za nyuma zinaonyesha wewe ndo chanzo cha ndoa yako kuvunjika, kumbuka ile msg uliyomtumia mmeo kuwa hakuridhishi.

Pili swala la elimu yako pia linachanganya haiwezekani 2014 useme una degree halafu 2015 useme umerudia mtihani wa kidato cha NNE Mara tatu mwaka 2015 angalau umefanikiwa kiasi na unatafuta chuo usome certificate.... anyway mi nimshamba wa ku kopi links lakini hizo ndo post zake. Ila mungu mwema utapata!
nimekukubali kwa kufuatili but sio lazima yote ninayopost yawe ni matukio yangu Mimi, mengine ni ya ndugu jamaa na marafiki ambayo tuko katika harakati za kuyatafitia ufumbuzi.
So Act on the current post n not otherwise maana waweza kujichanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la kheri my dear...usijali utampata akupendae tena humu humu
 
Kuna mateso ya ndani ya ndoa hayavumiliki

Nimeona ndoa zinatesana kwasababu za kishirikina za kutoa makafara tena ya watu.

Dada kaolewa hakuwa anajua ya ndani alipojifungua tu mtt siku ya 7 kaenda Hosp kutolewa nyuzi, mama mkwe akachukua mtt wake machanga wa siku 7 akaenda naye kwake. Dada anarudi hakuti mtt na anamuambia mume mume anasema ni kawaida ya mila zetu. Akahoji mbona hukuniambia akaambiwa utayajua baadae.

Mama akanyanyuka kumfwata mtt huko kwa mkwe. Akakuta mtt analia balaa. Anamuuliza Dada wa kazi mbona Sasa humbebi anasema Bibi hamtaki

Toka siku hiyo mtt akapata ugonjwa akawa mlemavu wa Akali.

Dada akaanza ukisoma namba mara Bibi anakujaga home anaingia hadi bdrum kwake, anatandika kitanda alimradi fujo tuu huku mume yuko pamoja na mama. Kumbe maskini wanatafuta njama za kumtoa mtt kafara. Siku wifi yake akamwambia live.

Ikabidi huyu Dada aondoke na mwanae kwenda kujificha. Ndio baadae babu mtu akatafuta njia akawapata walioko mafichon wakamnyang'anya mama mtt. Mamma akaenda kanisan, babu akatukana kanisa vby sana. Huku Hali ya mtt unazidi kuwa mbaya.

Mama akatoka akaenda mahakaman, mahakaman akapewe divorce babu na Bibi wakaja wakaweka pingamizi eti wabaki na mtt kwan ni mlemavu wa akili so mama hataweza kumuhudumia. Kesi mpaka Sasa inaendelea.

Je katika Hali kama hii utasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani kuna magumu sana kwenye ndoa zingine ukiona MTU hadi umepata divorce kapitia magumu sana sasa nashangaa watu humu ndani wanaongea tu as if ni jambo Dogo sana na rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom