Natamani kuolewa

Natamani kuolewa

mi nna degree na madegree bachelor ndo usiseme kama ndo masters weeeeee acha tum
 
Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiweke umri mama, wewe tafuta kuolewa basi. Ukishaweka wasifu wako wewe, wanaume watajichuja wenyewe.
 
Tuliokimbia shule kisa umande mnatubagua
Sanaaaaa
Kila uzi msomi wa degree
Asee tupeni nafas
Tusiosoma banah
35+ msomi halafu hana mke sijuii lakini
Ni ngumu kumpata, mwanamke anatakiwa atafute mume tu. Sio kuweka vigezo
 
Habari za wote humu ndani,

Nimepitia mengi kwenye maisha ya mahusiano kwa mara ya kwanza nilikutana na wrong person nikawa nae nikapata na mtoto nae then we divorced.

Nimekaa miaka mitatu single now natamani kuolewa, I need to be with man, sio kwamba siwezi kuendesha maisha yangu la hasha, naendesha vizuri tu but naona kuna haja ya kuwa na mwanaume.

Natamani kupata mwanaume mkubwa mwenye miaka kuanzia 35 mwenye kujitambua, aliyesoma kuanzia degree moja, anayemcha Mungu, na pia anayejua namna ya kupenda.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
habari ya wewe mamaaa na pole sana kwa historia uliyoipitia, napenda niwe faraja ya moyo wako vigezo vyoote ninavyo pse ni PM tuweze kuyajenga zaidi
 
Kigezo cha elimu kimenidiqualify punguza ili nikujumuishe uwe mke wa pili.
 
Elimu, elimu, elimu, elimu, elimu, elimu,
We dada hebu kuwa "serious" muda mwingine unahitaji mwanaume wa elimu ipi ya "shule" au "mtaani"
 
Hapa ndipo wanawake wengi mnapokosea.mwenye kuweka vigezo vya aina ya mtu wakua naye ni mwanaume maana yeye ndo muoaji,mwanamke wewe kazi yako nikuwindwa kwaiyo unachotakiwa nikujiweka kwenye mazingira bora yakua na sifa zakumfanya mwindaji bora akuone nakukuwinda.Unapoweka vigezo vyako wakat hukidhi haja ya vigezo vya wanaume nakuhakikishia hutakaa umpate uyo unayemtaka.kwanza ayo mambo ya degree ni upuuzi mtupu wewe sema upate mwanaume atakayakupenda kwa dhati ayo mengine mtayaweka uko mbele pamoja.
hahahahahaaa!! umenifurahisha sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwenye mapenzi, Upendo wa dhati huwa hauchagui elimu, kazi, sura wala umri.. Unajikuta tuu ushapenda. Lakini kwa upande wako unachagua wa hadhi yako na hiyo ndo huwafanya wengi kukosa wenzi..

Tulia mwambie Mungu akuletee wako, huyoo wa kuchagua hivyo waweza mpata ila akawa anacheza tuu na hisia zako, akichoka ataondoka..... Kuwa makini
 
Back
Top Bottom