Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi.

Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi itapigwa tena kwa mzunguko wa pili?

Majibu wanayo timu washiriki pamoja na Bodi ya Ligi,ila nilitamani kuona ladha hii ingepelekwa nje ya mipaka ya Tanzania,rukashuhudia kandanda safi.


WALAMSIKI
 
Kipigwe pale Amahoro stadium kwa mwamba Kagame
 
Wagonjwa wa akili wanazidi kuongezeka Tanganyika wanawaza simba na yanga tu.

Muogope sana Mtu anayeandika sana habari za
1.Simba na yanga.
2. Bodi ya Ligi.
3. TFF.
4. Karia.
5. Mchezo kuhairishwa.
6. CAS.
7. Hanse Raphael kichaa.
8. Uwanja wa Taifa.
9. Kanuni hekima na Busara.

MUOGOPE MTU HUYO KAMA UKOMA
 
Don't be that fool to take our money to the other country!.
Hiyo mechi huwa inaleta mzunguko kibiashara sasa unataka wakafaidike wengine na wazawa wakose!, mawazo kama haya ndio huwa yanafanya waafrika tunaonekana hamnazo!.
jali chako kwanza vya jirani baadae this is our business!.
 
Back
Top Bottom