Natamani kupata Mwanamke ambaye atanibadilisha kiroho

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Kuna nafsi iliniambia nenda JF huko utampata naa utamuoa, nikajiunga huku nikiwa sina hili wala lile wala sikumjua ni nani huyo ambae niliambiwa nikija nitampata ?

Lakini katika maono ya siku chache zilizopita nilionyeshwa Mwanamke huyo ni Setfree

Najua sasa hivi Setfree atakuwa kanisani kwasababu ni Jumapili au atakuwa anajiandaa kwenda kanisani lakini ninaandika ili akija akutane na ushuhuda huu

Niwatakie wote Jumapili njema, lakini kwa namna ya pekee nimtakie Jumapili njema mwanamke huyu niliyeoneshwa kwenye maono Setfree
 
Mfuate inbox
20260412_051540.jpg
 
kuna nafsi iliniambia nenda JF huko utampata naa utamuoa, nikajiunga huku nikiwa sina hili wala lile wala sikumjua ni nani huyo ambae niliambiwa nikija nitampata ?

lakini katika maono ya siku chache zilizopita nilionyeshwa Mwanamke huyo ni Setfree

najua saivi Setfree atakua kanisani kwasababu ni jumapili au atakua anajiandaa kwenda kanisani lakini ninaandika ili akija akutane na ushuhuda huu

niwatakie wote jumapili njema, lakini kwa namna ya pekee nimtakie jumapili njema mwanamke huyu niliyeonyeshwa kwenye maono Setfree
hakuna kinachoshindikana pambania jiko hilo
 
Kama unataka mke mzuri, mwenye busara, usimtafute mitandaoni. Muombe Mungu atakupa, kwakuwa imeandikwa: "Mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA." (Mithali 19:14).

Hata hivyo, anayebadilisha maisha ya kiroho ya mtu, sio mke au mwanamke. Yesu ndiye anayeweza kukubadilisha kiroho na kukufanya kiumbe kipya, ukitubu, ukikiri ya kwamba Yesu ni BWANA na kukubali awe Mwokozi wako.

By the way, nimesoma mahali eti unataka fulani akufundishe uganga. Sasa tangu lini uganga ukakaa pamoja na mtu aliyeokoka? Aisee nyie watu mbona mnacheza na neema ya Mungu, as if mtaishi milele hapa duniani?
 
Nimecheka mno, jamaa kwenye uzi wa vitabu alikuwa anataka kitabu cha uganga cha kiswahili
 
Kama unataka mke mzuri, mwenye busara, usimtafute mitandaoni. Muombe Mungu atakupa, kwakuwa imeandikwa: "Mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA." (Mithali 19:14).

Hata hivyo, anayebadilisha maisha ya kiroho ya mtu, sio mke au mwanamke. Yesu ndiye anayeweza kukubadilisha kiroho na kukufanya kiumbe kipya, ukitubu, ukikiri ya kwamba Yesu ni BWANA na kukubali awe Mwokozi wako.

By the way, nimesoma mahali eti unataka fulani akufundishe uganga. Sasa tangu lini uganga ukakaa pamoja na mtu aliyeokoka? Aisee nyie watu mbona mnacheza na neema ya Mungu, as if mtaishi milele hapa duniani?
hapana yule nimemtania kutokana na hulka yake na vitu ambavyo hua anapost na nilimtania tu kwa kureply comment yake...

lakini kwako nimekuanzishia mada na kueleza kiundani. all in all siujui uganga na wala sitaki kuujua. Hata Yesu alikaa katikati ya wanyang'anyi ili kuwakomboa. " mchungaji mzuri lazima anuke harufu ya mifugo wake"
 
Back
Top Bottom