Kama unataka mke mzuri, mwenye busara, usimtafute mitandaoni. Muombe Mungu atakupa, kwakuwa imeandikwa: "Mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA." (Mithali 19:14).
Hata hivyo, anayebadilisha maisha ya kiroho ya mtu, sio mke au mwanamke. Yesu ndiye anayeweza kukubadilisha kiroho na kukufanya kiumbe kipya, ukitubu, ukikiri ya kwamba Yesu ni BWANA na kukubali awe Mwokozi wako.
By the way, nimesoma mahali eti unataka fulani akufundishe uganga. Sasa tangu lini uganga ukakaa pamoja na mtu aliyeokoka? Aisee nyie watu mbona mnacheza na neema ya Mungu, as if mtaishi milele hapa duniani?