chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Ahsante sana...Maono mazuri... Nakuombea!
hakuna kinachoshindikana pambania jiko hilokuna nafsi iliniambia nenda JF huko utampata naa utamuoa, nikajiunga huku nikiwa sina hili wala lile wala sikumjua ni nani huyo ambae niliambiwa nikija nitampata ?
lakini katika maono ya siku chache zilizopita nilionyeshwa Mwanamke huyo ni Setfree
najua saivi Setfree atakua kanisani kwasababu ni jumapili au atakua anajiandaa kwenda kanisani lakini ninaandika ili akija akutane na ushuhuda huu
niwatakie wote jumapili njema, lakini kwa namna ya pekee nimtakie jumapili njema mwanamke huyu niliyeonyeshwa kwenye maono Setfree
nitamfuata muda utakapofika lakini kwa sasa natangaza kwanza nia ili nione kama kuna vikwazoMfuate inbox View attachment 3571257
Chukua goma wa hivyo upinzani ni mdogonitamfuata muda utakapofika lakini kwa sasa natangaza kwanza nia ili nione kama kuna vikwazo
Duh🥺😂🙌🏿Huyo aliwahi kusema yeye ni ME Sasa , katika maono yako haujaoneshwa hili Jambo kujua jinsia yake .
Keep knocking more doors if you will never save you will serve.
atathibitisha mwenyewe leoHuyo aliwahi kusema yeye ni ME Sasa , katika maono yako haujaoneshwa hili Jambo kujua jinsia yake .
Keep knocking more doors if you will never save you will serve.
Whether you will save or serve -atathibitisha mwenyewe leo
Kama unataka mke mzuri, mwenye busara, usimtafute mitandaoni. Muombe Mungu atakupa, kwakuwa imeandikwa: "Mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA." (Mithali 19:14).Setfree nakuita huku
Nimecheka mno, jamaa kwenye uzi wa vitabu alikuwa anataka kitabu cha uganga cha kiswahiliKama unataka mke mzuri, mwenye busara, usimtafute mitandaoni. Muombe Mungu atakupa, kwakuwa imeandikwa: "Mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA." (Mithali 19:14).
Hata hivyo, anayebadilisha maisha ya kiroho ya mtu, sio mke au mwanamke. Yesu ndiye anayeweza kukubadilisha kiroho na kukufanya kiumbe kipya, ukitubu, ukikiri ya kwamba Yesu ni BWANA na kukubali awe Mwokozi wako.
By the way, nimesoma mahali eti unataka fulani akufundishe uganga. Sasa tangu lini uganga ukakaa pamoja na mtu aliyeokoka? Aisee nyie watu mbona mnacheza na neema ya Mungu, as if mtaishi milele hapa duniani?
Kwamba pisi n mbovu hvy wana hawataki kuigombania? 😂Chukua goma wa hivyo upinzani ni mdogo
hapana yule nimemtania kutokana na hulka yake na vitu ambavyo hua anapost na nilimtania tu kwa kureply comment yake...Kama unataka mke mzuri, mwenye busara, usimtafute mitandaoni. Muombe Mungu atakupa, kwakuwa imeandikwa: "Mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA." (Mithali 19:14).