Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Aweeeee... na nina nyota na wakurya balaa.. baba mtoto ni mkurya, ex bf ni mkurya pia. Natumaini atakua mkurya pia
Serious??? sasa kwanini mlitengana mbna most of us hatuna tabia ya kuacha wake/wapenzi hovyo ??
 
Kwa style hiyo utakaa sana, yaan kauli yako naona umejifunga mwenyewe ww unatumia akili zako kumtafuta mume, km unasoma biblia nadhani bado sana my dia. Swala la mume ni Mungu si macho yako, anaweza hakuvutii lakini ndio wako, anaweza kuwa kipato chake kidogo ndio wako, tumia hekima na omba sana. Km ulimpenda akaondoka ujue hakuwa wako kabisa maana angekuwa wako asingeondoka kabisaaa.
 
Pole Mummy kwa yalio kusibu. Ila naona unaitaji cancelling kwanza before new relationship,yule wa kwanza aliuwai moyo wako kwa asilimia kubwa sana. So nilazima you let it go ndio utapata hamu tena ya kupenda mwengine.
 
sasa usaidiweje,maana kama kila anaekufuata unajishebedua eti hujampenda,hakuna namna endelea kudoda tu.
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Wewe utakuwa ni kadada flani mwenye maringo na kujiona una hadhi flani,
Si kuwa hakuna wanaokupenda wapo sema unawaona kama kipato chao hakitaendana na maisha unayoyataka uwezi kukubali ila moyoni mwako ndivyo unavyowaza,
Sasa kwa hako kaashepu chako unacho ringia kuwa makini sana kwa sababu watakuja ambao utawaona wanakuvutia kwa hela zao kumbe wao watakuja kama wapita njia tu na wengine watakuwa hata ni wenye wake ukija kushtuka paaaap umeachwa single mother.
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Chura kwanza mengine baadaye, shida huwa mnatanua miguu mapema badala ya kujitunza, hivi mfano nikakufuata sababu ya chura na ukanibania mchezo na kuniambia mpaka ndoa shida itakuwa wapi, kama nilikutamani tuu sitavumilia lakini kama nina nia nitasubiri au nitaharakisha ndoa ili uwe wangu, sasa kama kila anayekutongoza ukimpa mwili wako lazima ulielie tuuuu.
 
Unapenda nini Labda ,kwa mwanaume ,,uzuri ,pesa, kabila, nyadhfa,, umaarufu ,,maana ,ushauri upo wa bure tu ,
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Kwani kuwa na chura si ndio ulivyo mamii! Au chura yako ya china?!
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yan wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Mimi nampenda sana Me too japo sipo naye karibu
 
Back
Top Bottom