Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Serious??? sasa kwanini mlitengana mbna most of us hatuna tabia ya kuacha wake/wapenzi hovyo ??Aweeeee... na nina nyota na wakurya balaa.. baba mtoto ni mkurya, ex bf ni mkurya pia. Natumaini atakua mkurya pia
Una umr gan wew na unaitaj m2 wa sifa gani na wa aina ganAmen
Yani huyu bwana story yetu inasikitisha japo yeye ndo chanzo cha yote. Anataka tuendelee bado ila nimexhagua kutopoteza nae muda japo nilimpenda sanaSerious??? sasa kwanini mlitengana mbna most of us hatuna tabia ya kuacha wake/wapenzi hovyo ??
Duh Pole bhna maisha lazima yaendleeYani huyu bwana story yetu inasikitisha japo yeye ndo chanzo cha yote. Anataka tuendelee bado ila nimexhagua kutopoteza nae muda japo nilimpenda sana
natamani sana ukianza kupenda uanze na mmHata mimi sijui kwanini haupendi.
Good...ila inaelekea utazinguaSina pond pia
Wewe utakuwa ni kadada flani mwenye maringo na kujiona una hadhi flani,Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weka sifa!.....mimi sifa yangu ninayotaka ni moja tu nayo ni chura!
Chura kwanza mengine baadaye, shida huwa mnatanua miguu mapema badala ya kujitunza, hivi mfano nikakufuata sababu ya chura na ukanibania mchezo na kuniambia mpaka ndoa shida itakuwa wapi, kama nilikutamani tuu sitavumilia lakini kama nina nia nitasubiri au nitaharakisha ndoa ili uwe wangu, sasa kama kila anayekutongoza ukimpa mwili wako lazima ulielie tuuuu.Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Kwani kuwa na chura si ndio ulivyo mamii! Au chura yako ya china?!Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Njoo nikupe mafunzo, ndani ya mwezi mmoja tu, hutotamani hata mwanaume apite mbele yako. Ukiwahi mafunzo natoa bure.Natamani kutopenda
Mimi nampenda sana Me too japo sipo naye karibuMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yan wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.