Wewe wote walokutanulia miguu ulienda sababu wana chura? na uko nao bado?? kujikuta mnajua rules of the game afu mnakua wa kwanza kuzivunja. Kwanza mi sitaki huo ujinga wa kutogusana mpaka ndoa nikikuta una kibao? au haipo? au mkono wa sweta? wanaopenda bikra watatafuta bikra wenzao na ndo maana sijasema natafuta mume hapa nimesema nataka kupenda.Chura kwanza mengine baadaye, shida huwa mnatanua miguu mapema badala ya kujitunza, hivi mfano nikakufuata sababu ya chura na ukanibania mchezo na kuniambia mpaka ndoa shida itakuwa wapi, kama nilikutamani tuu sitavumilia lakini kama nina nia nitasubiri au nitaharakisha ndoa ili uwe wangu, sasa kama kila anayekutongoza ukimpa mwili wako lazima ulielie tuuuu.
Mmmmmh!! Hiyo ya kujilipua eti utajifunza kupenda imewacost wengi sana. How if asipompenda kabisa!!!Between the line nahisi anahitaji sana mwanaume wa kumuoa. Sema hajagundua kuwa hao anaowapenda yeye siyo waoaji bali wanafuata chura sijui muonekano wake. Ushauri wangu asisikilize sana moyo wake. Akubali 'kujifunza kumpenda mwanaume' huko huko mbele kwa mbele. Akifanya hivi ataolewa mapema given qualities anazojipambanua kuwa nazo.
Halafu pia hajaelewa kuwa mtoto ni kikwazo kwa wanaume wengi when it comes to marriage. So she has to choose smartly kama kweli anahitaji kuolewa. Hao hao anaowavalia uso wa mbuzi sijui kuwa serious ndo angepata muoaji humo then ajifunze kumpenda taratibu huku maisha yanasonga.
Akiendelea na style yake ya kupenda anaowapenda tu ilihali ana mtoto na age ndo hiyo inazidi kupaa, akyamama wanaume watamchezea sana. Hapo najua wanafuata hiyo chura but when it comes to marriage wanalala mbele.
Yangu ni hayo, usiku mwema
Ila mzigo walikula?Nawaonaga waongo waongo, nilishajaribu wawili ila wote hatukudumu hata mwezi nikawaacha japo wananitaka hata sasa hivi ila nimeshindwa..
Ina maana we huwa unajua kuheshimu mahusiano kweli? Au ndio wale unaminamba kibao ya wanaume wengine kila anayeomba namba unampa tu mwishowe unatongozwa unabaki kucheka cheka tu.Umri hapana, kuchagua pia sidhani sababu huwa namuona mtu nampenda hivyo akija kumwaga sera inakia rahiso tu.
Kwahio we pesa hupendi, upo ki real love zaidi na unaweza tulia na mtu mwenye hela za kujikimu tu sio anasa? Au utakuwa unamsimanga tu?Tatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
Hii nimeipenda ila huwa napenda kudhibitisha hili p.m maana wenzio wanasimangaga wanaume wafupi...vibamia...mara asie na pesa mara wanataka wale tall HB and black. Je we haupo kundi hili?Wala hata. kwanini mnakimbiliaga kuwa tunachagua? mi sichagui aisee na naogopa sana wanaume wenye hela.
Hii ni kweliKila mtu ana kitu special kwa mtu alie tayari kukipata hicho kitu. lakini unaweza ukawa na kila kitu mtu anakitaka ila akawa na sababu nyingine zitakazokatisha mahusiano yenu mfano kabila, dini etc..
Im impressed kwa hili if its really running on your veins, nachukia mwanamke malaya. Chanzo kikubwa ni kutokuwa na msimamo wa kusema hapana ukiwa tayari na mahusiano mengineWatu wa karibu yangu wanasemaga nina tatizo na wanaume kuwa sizoeleki/sitongozeki kirahisi sababu niko serious japo huwa ni mbinu naitumia nikiwa naona mtu anataka kunitongoza na najua nikimkataa nitaharibu uhusiano tulio nao. labda ukauzu kwa wanaoplan kunitokea na urafiki na wanaume wengi ni tatizi
mama shikamooUnajua binadamu huwa tuna kawaida ya kujifariji na kuukataa ukweli badala ya kudeal na tatizo ili tuondokane na tatizo husika. Ni kweli inatokea unaempenda wewe hakupendi na anayekupenda humpendi(life isnt fair kwakweli)
Ila wahenga wanasema kama hauwezi kupata unachokitaka basi ridhika na unachokipata. Kutokuridhika na kuwa na high expectations ndio huwa anguko letu.
Ujue girls ni wa ajabu mzee baba, ET anajipima mwenyew kwamba mapungufu yake yanavumilika wakat kwa wengin ni maumivu tu...! Nimecheka Kwan amenikumbusha girl wangu kanilitea upuuzi mwingi last month nimekaa kimya Mara kaweka status WATS up ET huwez kumwacha mtu unaye mpenda ata Kama kafanya mia moja ya kukukatisha tamaa ila utatafuta sababu moja ya kuwa nae, kha!!!! Ni Kama huyo yan mapungufu yao wanaona yanavumilikaUnawezaje kuwa na uhakika kwamba mapungufu yako yanavumilika ?
Yani kama hela za kula sisi zipo zinatutosha hizo za anasa tutatafuta taratibu... siwezi msimanga mtu kisa hana hela za anasa labda kama simpendi.Kwahio we pesa hupendi, upo ki real love zaidi na unaweza tulia na mtu mwenye hela za kujikimu tu sio anasa? Au utakuwa unamsimanga tu?
Etii.. huo ujinga sifanyi halafu mi mkristo tena mroma huo muda nitakaopoteza kuvunja ndoa si bora niutumie sasa hivi kutafuta wa kumpendaMmmmmh!! Hiyo ya kujilipua eti utajifunza kupenda imewacost wengi sana. How if asipompenda kabisa!!!
Na nayaheshimu haswa. Yani mi nikishapenda sionagi wanaume wengine.Ina maana we huwa unajua kuheshimu mahusiano kweli? Au ndio wale unaminamba kibao ya wanaume wengine kila anayeomba namba unampa tu mwishowe unatongozwa unabaki kucheka cheka tu.
Ukimpenda mtu huo ufupi, hana hela sijui takataka gani huwezi kuziona. Unaweza muona mwanume wako mzuri kumbe wenzio wanamuona wa ajabu.Hii nimeipenda ila huwa napenda kudhibitisha hili p.m maana wenzio wanasimangaga wanaume wafupi...vibamia...mara asie na pesa mara wanataka wale tall HB and black. Je we haupo kundi hili?
Jamani hakuna aliemkamilifu ila tunavumiliana tu mapungufu yetu.Ujue girls ni wa ajabu mzee baba, ET anajipima mwenyew kwamba mapungufu yake yanavumilika wakat kwa wengin ni maumivu tu...! Nimecheka Kwan amenikumbusha girl wangu kanilitea upuuzi mwingi last month nimekaa kimya Mara kaweka status WATS up ET huwez kumwacha mtu unaye mpenda ata Kama kafanya mia moja ya kukukatisha tamaa ila utatafuta sababu moja ya kuwa nae, kha!!!! Ni Kama huyo yan mapungufu yao wanaona yanavumilika
Ameen lovie Mungu atafanya wepesi wakeAsante wa kunyumba bado naendelea kuvuta subira..