Natamani kupenda tena

unazingua best... mwanamke usichangue chague sana.. chagua mashine tu basi .. kwema lakini?
 
Etii.. huo ujinga sifanyi halafu mi mkristo tena mroma huo muda nitakaopoteza kuvunja ndoa si bora niutumie sasa hivi kutafuta wa kumpenda
Usiikatili nafsi yako mama eti kisa tu unaitaka ndoa, mtangulize Mungu atakupa tu lililo hitaji lako.
 

Pole saana...nime ku PM
 
Duh! Pole Mrembo!!
Mrembo naomba nije PM nikupe kilicho ndani ya moyo wangu baada ya kusoma thread yako.
Nahisi utakuwa wife material kabisa.
 
Kwa suala la kuringa hapana na sina hadhi yoyote yani nasisitiza yoyote basi tu ukishakua mwanamke wa type yangu wanaume wanaanza kuwa na assumptions zao.
Zingatia niliyokwambia, wengi wanaolea watoto bila baba zao si kuwa wanafuraha kama mnavyo waona au wanayotamka ila ni kwa kuwa yameshawatokea na hakuna namna!
 
Akishtuka paaaaap watoto watatu na kila mmoja na baba yake,
Na hata hela alizofikiri atapewa hakuna anabaki kuangaika na watoto.
Hapo hata kama alikukataa nawe unaenda unaosha unapita ujanja hana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…