Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
unazingua best... mwanamke usichangue chague sana.. chagua mashine tu basi .. kwema lakini?
 
Etii.. huo ujinga sifanyi halafu mi mkristo tena mroma huo muda nitakaopoteza kuvunja ndoa si bora niutumie sasa hivi kutafuta wa kumpenda
Usiikatili nafsi yako mama eti kisa tu unaitaka ndoa, mtangulize Mungu atakupa tu lililo hitaji lako.
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.

Pole saana...nime ku PM
 
Duh! Pole Mrembo!!
Mrembo naomba nije PM nikupe kilicho ndani ya moyo wangu baada ya kusoma thread yako.
Nahisi utakuwa wife material kabisa.
 
Kwa suala la kuringa hapana na sina hadhi yoyote yani nasisitiza yoyote basi tu ukishakua mwanamke wa type yangu wanaume wanaanza kuwa na assumptions zao.
Zingatia niliyokwambia, wengi wanaolea watoto bila baba zao si kuwa wanafuraha kama mnavyo waona au wanayotamka ila ni kwa kuwa yameshawatokea na hakuna namna!
 
Hii kasumba wanayo KE wengi mno, hata kuna mdada mmoja nafahamiana nae ni best yangu sana, kuna mahali tulifanya kazi pamoja na pia tulitokea kuivana sana yani coz aliielewa mikato yangu halafu ni mtu mwenye utu na caring sana.

Yeye amezalishwa vibinti viwili. 27 yrs ana umbo zuri la kuvutia la kike, chura hips na mguu ila shida ni yupo selective sana when it comes to dating men. Yeye anatakwa wanaume flani hivi wale ambao wapo top in the market yani wenye mvuto haswaa halafu ana expect wadumu kwenye mahusiano muda mrefu, style kama za akina Daxx cruz, Jux, Calissah ndio taste zake. Bila kujali kuwa ME wa vile huwa wana circle ya wanawake wengi maana kuna offers za free papuchi allover the town achilia mbali wale wanaowatongoza wao. Watu wanaompenda wa kutulia na yeye hawataki. Anataka vijana ma HB na kwa uzuri wa body lake wengi hawamlazii damu wanapita nae af wanamtema.

Basi kila kukicha analizwa tu yani, ila ndio wala hakomi namwambiaga ukweli anacheka cheka tu. So mtoa mada nae akiwa kwenye hio circle ya hivyo kulia lia anakosa mtu wa kuwa nae seriously ni pie.
Akishtuka paaaaap watoto watatu na kila mmoja na baba yake,
Na hata hela alizofikiri atapewa hakuna anabaki kuangaika na watoto.
Hapo hata kama alikukataa nawe unaenda unaosha unapita ujanja hana!
 
Back
Top Bottom