Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wa miaka 60 unawanyanyapaa?Eti jamanii.. labda anataka niolewe na mtu alofiwa na mke wa miaka 60 huko
Marahaba, haujambo mwanangu?mama shikamoo
unazingua best... mwanamke usichangue chague sana.. chagua mashine tu basi .. kwema lakini?Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Usiikatili nafsi yako mama eti kisa tu unaitaka ndoa, mtangulize Mungu atakupa tu lililo hitaji lako.Etii.. huo ujinga sifanyi halafu mi mkristo tena mroma huo muda nitakaopoteza kuvunja ndoa si bora niutumie sasa hivi kutafuta wa kumpenda
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Hahahaaaaa!! Njoo nikupende baba.natamani sana ukianza kupenda uanze na mm
Uh!!!!Natamani kutopenda
Duh! Pole Mrembo!!Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Hiyo ni mbaya kuliko heri kufa na kutu kuliko kwenda tu eti utajifunza kumpendaMmmmmh!! Hiyo ya kujilipua eti utajifunza kupenda imewacost wengi sana. How if asipompenda kabisa!!!
Zingatia niliyokwambia, wengi wanaolea watoto bila baba zao si kuwa wanafuraha kama mnavyo waona au wanayotamka ila ni kwa kuwa yameshawatokea na hakuna namna!Kwa suala la kuringa hapana na sina hadhi yoyote yani nasisitiza yoyote basi tu ukishakua mwanamke wa type yangu wanaume wanaanza kuwa na assumptions zao.
Akishtuka paaaaap watoto watatu na kila mmoja na baba yake,Hii kasumba wanayo KE wengi mno, hata kuna mdada mmoja nafahamiana nae ni best yangu sana, kuna mahali tulifanya kazi pamoja na pia tulitokea kuivana sana yani coz aliielewa mikato yangu halafu ni mtu mwenye utu na caring sana.
Yeye amezalishwa vibinti viwili. 27 yrs ana umbo zuri la kuvutia la kike, chura hips na mguu ila shida ni yupo selective sana when it comes to dating men. Yeye anatakwa wanaume flani hivi wale ambao wapo top in the market yani wenye mvuto haswaa halafu ana expect wadumu kwenye mahusiano muda mrefu, style kama za akina Daxx cruz, Jux, Calissah ndio taste zake. Bila kujali kuwa ME wa vile huwa wana circle ya wanawake wengi maana kuna offers za free papuchi allover the town achilia mbali wale wanaowatongoza wao. Watu wanaompenda wa kutulia na yeye hawataki. Anataka vijana ma HB na kwa uzuri wa body lake wengi hawamlazii damu wanapita nae af wanamtema.
Basi kila kukicha analizwa tu yani, ila ndio wala hakomi namwambiaga ukweli anacheka cheka tu. So mtoa mada nae akiwa kwenye hio circle ya hivyo kulia lia anakosa mtu wa kuwa nae seriously ni pie.
Ata mm hujaniona????kwelu hauko siriaz@mzigua90Asante mpenzi.. natamani atokee hata kesho