Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #21
Bahati nzuri ni kati ya wanawake wanaume wengi wanawish kuwa nao. Nimeshapenda wanaume wawili na wote nilianza kuwapenda mimi japo walijiona wametumia nguvu kunishawishi ila nilikua tayari kabla hawajawaza kuwa na mimi.Wanaokufuata hawajakuvutia, balaa ni pale watakaokuvutia hawakupendi wala hawavutiwi na wewe.