Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Wanaokufuata hawajakuvutia, balaa ni pale watakaokuvutia hawakupendi wala hawavutiwi na wewe.
Bahati nzuri ni kati ya wanawake wanaume wengi wanawish kuwa nao. Nimeshapenda wanaume wawili na wote nilianza kuwapenda mimi japo walijiona wametumia nguvu kunishawishi ila nilikua tayari kabla hawajawaza kuwa na mimi.
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yan wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Bado hujaonana na mimi hakika naamini ungenipenda tu.
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yan wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.

pole sn!
 
Back
Top Bottom