Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Aisee niombe radhi, umri huu nipende six packs na kiduku?? kwanza sijawahi wapenda wa kihivyo
Samahani,ila pengine utakuwa tayar una mtoto na hili jambo wanaume wengi wanalikwepa,
Kama una mtoto tafuta mbaba tu,ila vijana watakusumbua.
 
Nilitaka mshauri hili yawezekana ni SINGO MAMA,
Awe analisema mwanzo wa mahusiano.
Hebu na nyie mumuache dada wa watu, kujifanyaga kuwasimanga single moms utadhani wameua na nyie ni watakatifu sana!!! kwani akiwa single mama ndio inazuia nini!!!
 
Nilitaka mshauri hili yawezekana ni SINGO MAMA,
Awe analisema mwanzo wa mahusiano.
Okay, toka February 2016 nilikua singo mpaka mwezi July 2017 nikajaribu kudate na niliekua nae alijua nina mtoto na haikua shida kwake lakini it didn't work out nilishindwa mimi sababu niliona nampotezea muda
 
Hebu na nyie mumuache dada wa watu, kijufanyaga kuwasimanga single moms utadhani wameua na nyie ni watakatifu sana!!! kwani akiwa single mama ndio inazuia nini!!!
Nimesema tu kwa uzuri dada,
Kwamba,yawezekana halipi kipaumbele jambo la mtoto kabla ya kuanza mahusiano,
Na ili asalimike,ajaribu watu wazima,vijana wengi wanaogopa mikosi.
 
Watu wa karibu yangu wanasemaga nina tatizo na wanaume kuwa sizoeleki/sitongozeki kirahisi sababu niko serious japo huwa ni mbinu naitumia nikiwa naona mtu anataka kunitongoza na najua nikimkataa nitaharibu uhusiano tulio nao. labda ukauzu kwa wanaoplan kunitokea na urafiki na wanaume wengi ni tatizi
Na hiyo mbinu unaitumia kwa wale ambao hawakuvutii, we subiri akitokea unaemridhia mbinu zote zinayeyuka.
Unatamani kupenda ila bado haujawa tayari kupenda. Ninakuelewa mama.
 
Watu wa karibu yangu wanasemaga nina tatizo na wanaume kuwa sizoeleki/sitongozeki kirahisi sababu niko serious japo huwa ni mbinu naitumia nikiwa naona mtu anataka kunitongoza na najua nikimkataa nitaharibu uhusiano tulio nao. labda ukauzu kwa wanaoplan kunitokea na urafiki na wanaume wengi ni tatizi
wakati mwingine ukipretend sana tabia fulani bila kujua inaweza kuwa ndio tabia yako,mwanamke ni pambo,hata mimi umekunja sura nitafikiri mara mbili,kuwa mchangamfu sio kwamba utazoeleka ila jijengee mazingira ya mwanaume akuheshimu kuliko kutumia hiyo njia yako,wengine huwa ni waelewa tu,ntachukua namba ntakutongoza,ukinikataa ya kwanza na ya pili tena nakubali matokeo
 
Okay, toka February 2016 nilikua singo mpaka mwezi July 2017 nikajaribu kudate na niliekua nae alijua nina mtoto na haikua shida kwake lakini it didn't work out nilishindwa mimi sababu niliona nampotezea muda
Haikuwa shida kwake sababu ulishampenda,ivo alifanya pumziko.
Kila la kheri.
 
Hata hivyo hakuna binadamu ambae amekamilika bwana we. Hayo mambo hutokea sana tu.

We jipe muda moyo wako uachie na atatokea tu wa kumpenda.
Tatizo kuna watu wanaandika kama vile walowatoa bikra ndo wako nao, yani wanajitoa kwenye uhalisia kwamba hata wao walishapendana na magf zao wakashindwana bila hata hao gf kuwa wabaya.. naendelea kusubiri subiri akija sawa asipokuja pia maisha yataenda.
 
Samahani,ila pengine utakuwa tayar una mtoto na hili jambo wanaume wengi wanalikwepa,
Kama una mtoto tafuta mbaba tu,ila vijana watakusumbua.
Kama nimemuelewa tatizo lake mmeligeuza. Tatizo lake sio kupata tu mwanaume ilimradi mwanaune, bali tatizo lake ni kupenda. Tatizo lake ni psychological zaidi kwa jinsi nilivyomuelewa
 
Samahani,ila pengine utakuwa tayar una mtoto na hili jambo wanaume wengi wanalikwepa,
Kama una mtoto tafuta mbaba tu,ila vijana watakusumbua.
Unadhani sipati wanaume kaka angu? wapo sema mimi moyo unakua mgumu kwao.
 
Back
Top Bottom