Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani,ila pengine utakuwa tayar una mtoto na hili jambo wanaume wengi wanalikwepa,Aisee niombe radhi, umri huu nipende six packs na kiduku?? kwanza sijawahi wapenda wa kihivyo
Hebu na nyie mumuache dada wa watu, kujifanyaga kuwasimanga single moms utadhani wameua na nyie ni watakatifu sana!!! kwani akiwa single mama ndio inazuia nini!!!Nilitaka mshauri hili yawezekana ni SINGO MAMA,
Awe analisema mwanzo wa mahusiano.
Wapo wanaofiwa na wake zao,wapo wanaotengana.35 duhh huyo mwanaumee wa 38-40 ambae yupoyupo atampata wapi
Okay, toka February 2016 nilikua singo mpaka mwezi July 2017 nikajaribu kudate na niliekua nae alijua nina mtoto na haikua shida kwake lakini it didn't work out nilishindwa mimi sababu niliona nampotezea mudaNilitaka mshauri hili yawezekana ni SINGO MAMA,
Awe analisema mwanzo wa mahusiano.
Nimesema tu kwa uzuri dada,Hebu na nyie mumuache dada wa watu, kijufanyaga kuwasimanga single moms utadhani wameua na nyie ni watakatifu sana!!! kwani akiwa single mama ndio inazuia nini!!!
Na hiyo mbinu unaitumia kwa wale ambao hawakuvutii, we subiri akitokea unaemridhia mbinu zote zinayeyuka.Watu wa karibu yangu wanasemaga nina tatizo na wanaume kuwa sizoeleki/sitongozeki kirahisi sababu niko serious japo huwa ni mbinu naitumia nikiwa naona mtu anataka kunitongoza na najua nikimkataa nitaharibu uhusiano tulio nao. labda ukauzu kwa wanaoplan kunitokea na urafiki na wanaume wengi ni tatizi
Mbona wapo tu.35 duhh huyo mwanaumee wa 38-40 ambae yupoyupo atampata wapi
wakati mwingine ukipretend sana tabia fulani bila kujua inaweza kuwa ndio tabia yako,mwanamke ni pambo,hata mimi umekunja sura nitafikiri mara mbili,kuwa mchangamfu sio kwamba utazoeleka ila jijengee mazingira ya mwanaume akuheshimu kuliko kutumia hiyo njia yako,wengine huwa ni waelewa tu,ntachukua namba ntakutongoza,ukinikataa ya kwanza na ya pili tena nakubali matokeoWatu wa karibu yangu wanasemaga nina tatizo na wanaume kuwa sizoeleki/sitongozeki kirahisi sababu niko serious japo huwa ni mbinu naitumia nikiwa naona mtu anataka kunitongoza na najua nikimkataa nitaharibu uhusiano tulio nao. labda ukauzu kwa wanaoplan kunitokea na urafiki na wanaume wengi ni tatizi
Haikuwa shida kwake sababu ulishampenda,ivo alifanya pumziko.Okay, toka February 2016 nilikua singo mpaka mwezi July 2017 nikajaribu kudate na niliekua nae alijua nina mtoto na haikua shida kwake lakini it didn't work out nilishindwa mimi sababu niliona nampotezea muda
Tatizo kuna watu wanaandika kama vile walowatoa bikra ndo wako nao, yani wanajitoa kwenye uhalisia kwamba hata wao walishapendana na magf zao wakashindwana bila hata hao gf kuwa wabaya.. naendelea kusubiri subiri akija sawa asipokuja pia maisha yataenda.Hata hivyo hakuna binadamu ambae amekamilika bwana we. Hayo mambo hutokea sana tu.
We jipe muda moyo wako uachie na atatokea tu wa kumpenda.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wifi ana taarifa?
Kama nimemuelewa tatizo lake mmeligeuza. Tatizo lake sio kupata tu mwanaume ilimradi mwanaune, bali tatizo lake ni kupenda. Tatizo lake ni psychological zaidi kwa jinsi nilivyomuelewaSamahani,ila pengine utakuwa tayar una mtoto na hili jambo wanaume wengi wanalikwepa,
Kama una mtoto tafuta mbaba tu,ila vijana watakusumbua.