Hii kasumba kuna mdada mmoja nafahamiana nae ni best yangu sana, kuna mahali tulifanya kazi pamoja.Tulitokea kuivana sana yani coz aliielewa mikato yangu halafu ni mtu mwenye utu sana.
Yeye amezalishwa vibinti viwili. Ana umbo zuri la kuvutia la kike, chura hips na mguu ila shida ni yupo selective sana when it comes to dating men. Yeye anatakwa wanaume flani hivi wale ambao wapo top in the market yani wenye mvuto sana, style kama za akina Daxx cruz, Jux, Calissah ndio taste zake. Bila kujali kuwa ME wa vile huwa wana circle ya wanawake wengi maana kuna offers za free papuchi allover the town achilia mbali wale wanaowatongoza wao.
Bas kila kukicha analizwa tu yani,