music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na Wazungu.
Nahitaji msichana/mwanamke wa Kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate.
Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa Oysterbay/Masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu, maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu kumuamini stranger.
Kwa nini napenda Mzungu? Nimeona lifestyle yangu mwanamke tunayeweza elewana ni wa Kizungu tu, sihitaji kwenda nje au kupata mali kutoka kwao.
Nisaidieni ujanja washkaji.