Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

Kaka kwanza fuga rasta afu enda zako zenji au r chuga.
 
Facebook nimepata wazungu wengi sana tatizo lao ni moja tu hawaombi hela wanataka wao ndo wakupe hela tu na mimi staki hivyo japokua nachukuaga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fala sana
 
Sikiliza tafuta laki nane tu jiandikishe pale ubalozi wa ujerumani kujifunza kijerumani hatua ya kwanza foundation laki nne na intermediate laki nne ni kama jumla miezi 9, pale kila alhamisi na jumanne kuna sinema jioni saa 1-4 usk ambazo huwa zinakutanisha staffs wa balozi za Uk, familia zao,marafiki, Canada, USA nk ila wote wazungu kwa ajili ya kujuana na kufahamiana ni fursa hiyo utakutana na mabinti wa kizungu wengi mno, tena tambua wazungu mabalozini wengi ni singles ila mpaka akuvulie au akukubalie my friend uwe royal mno lazima ajiridhishe vya kutosha akuvulii kirahisi rahisi, niliwapata sana pale, ila nimekua sasa nimeamua kutulia na Mu'asia [emoji23]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Japo hiyo course ni gharama ila nitajitahidi nifanikishe kiongozi, umenipa bonge la idea
 
Facebook ni platform kubwa sana ndo inawatumiaji wengi Zaid ila wabongo na ulimbukeni wetu ndo tunajikuta tunajidai kuiona ya hovyo ila kule kuna connection kibao na watu wako lowkey hawna showoff kama huko insta na Twitter
This is very plain 👏
 
😂
Where....
  1. Kama haupo kaskazini jitahidi uhamie Arusha
  2. Jitahidi kusali misa za Kingeleza kwenye makanisa yaliyopo hapo. Hasa St Theresa na Burka
  3. Jitahidi kwenda kutazama muvi Am Mall au Njiro Complex.
  4. Kunasehemu panaitwa Subble Square ipo ngaramtoni ya chini/kisongo baada ya kupita Airtpot tembelea sana hapo kuna wazungu kibao. Ukiwa nje huwezi waona ila ndani wamejaa
What to do...
  1. Jizime data usione aibu, jipendekeze sanaaa.
  2. Akiongea chochote cheka sana au tabasamu sana kama chizi kaona jalala
  3. Undoa kichwani swala la kumpata binti. Possibility ipo kwa wazeee😅😂😂
  4. Jifanye unataka kuwafundisha kiswahili. Sema nishawahi kutana na mzungu anaongea kimasai na kimeru kuliko hata akina nassari wenyewe
  5. Nimechoka kuType

Njia rahisi iliyokua inanikutanisha nao ilikua Supermarket.
😂😂 Ila huu ushauri umekaa kimkakati sana
 
Kapande pipa uwafate huko kwao,wapo wengi Sana ambao hawana wapenzi
 
Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na wazungu.

Nahitaji msichana/mwanamke wa kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate.

Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa oysterbay/masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu kumuamini stranger.

Kwa nini napenda mzungu??

Nimeona lifestyle yangu mwanamke tunayewrza elewana ni wakizungu tu, sihitaji kwenda nje au kupata mali kutoka kwao.

Nisaidieni ujanja washkaji...
Fuga rasta nenda beach
 
Where....
  1. Kama haupo kaskazini jitahidi uhamie Arusha
  2. Jitahidi kusali misa za Kingeleza kwenye makanisa yaliyopo hapo. Hasa St Theresa na Burka
  3. Jitahidi kwenda kutazama muvi Am Mall au Njiro Complex.
  4. Kunasehemu panaitwa Subble Square ipo ngaramtoni ya chini/kisongo baada ya kupita Airtpot tembelea sana hapo kuna wazungu kibao. Ukiwa nje huwezi waona ila ndani wamejaa
What to do...
  1. Jizime data usione aibu, jipendekeze sanaaa.
  2. Akiongea chochote cheka sana au tabasamu sana kama chizi kaona jalala
  3. Undoa kichwani swala la kumpata binti. Possibility ipo kwa wazeee😅😂😂
  4. Jifanye unataka kuwafundisha kiswahili. Sema nishawahi kutana na mzungu anaongea kimasai na kimeru kuliko hata akina nassari wenyewe
  5. Nimechoka kuType

Njia rahisi iliyokua inanikutanisha nao ilikua Supermarket.
Umetisha
 
Nenda Skype utampata ila uwe mkweli maana wenzetu hawapendi uongo huwa hawasamehi kuacha dk o au tafuta wafadhili(foundation)ya watoto yatima au shule utampata
 
Back
Top Bottom