music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Si kwa ubaya au nimedharau wadada wa kiafrica,No. Ni choice tu naona nitakuwa comfortable zaidi nikiwa na mpenzi mzungu.Lifestyle yako ni ya wazungu tuu!?
Unaamini Hakuna mwanamke wa kiafrika mwenye lifestyle hiyo?
Una uhakika kila mzungu yupo kama ulivyo au kama unavyofikiri?
Kila la heri lakini
Sina mbwembwe mkuu nipo simple tuMbwembwe acha [emoji1]
Mbona wabongo wakopoa tuSina mbwembwe mkuu nipo simple tu
Ni choice tu mzee baba wala sijasema wana bayaMbona wabongo wakopoa tu
utawapata tu[emoji1]Ni choice tu mzee baba wala sijasema wana baya
Jenga madhabahu, toa sadaka ya kuteketeza juu yakeNaomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na wazungu.
Nahitaji msichana/mwanamke wa kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate.
Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa oysterbay/masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu kumuamini stranger.
Kwa nini napenda mzungu??
Nimeona lifestyle yangu mwanamke tunayewrza elewana ni wakizungu tu, sihitaji kwenda nje au kupata mali kutoka kwao.
Nisaidieni ujanja washkaji...
Facebook etiFacebook nimepata wazungu wengi sana tatizo lao ni moja tu hawaombi hela wanataka wao ndo wakupe hela tu na mimi staki hivyo japokua nachukuaga