Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

Kaka kwanza fuga rasta afu enda zako zenji au r chuga.
 
Facebook nimepata wazungu wengi sana tatizo lao ni moja tu hawaombi hela wanataka wao ndo wakupe hela tu na mimi staki hivyo japokua nachukuaga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fala sana
 
'Aina hii ya vijana wanamchango mdogo sana katika taifa" Niko nje ya mada

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah mkuu mbona hv lkn??,
 
Japo hiyo course ni gharama ila nitajitahidi nifanikishe kiongozi, umenipa bonge la idea
 
Facebook ni platform kubwa sana ndo inawatumiaji wengi Zaid ila wabongo na ulimbukeni wetu ndo tunajikuta tunajidai kuiona ya hovyo ila kule kuna connection kibao na watu wako lowkey hawna showoff kama huko insta na Twitter
This is very plain πŸ‘
 
πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila huu ushauri umekaa kimkakati sana
 
Kapande pipa uwafate huko kwao,wapo wengi Sana ambao hawana wapenzi
 
Fuga rasta nenda beach
 
Umetisha
 
Nenda Skype utampata ila uwe mkweli maana wenzetu hawapendi uongo huwa hawasamehi kuacha dk o au tafuta wafadhili(foundation)ya watoto yatima au shule utampata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…