Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

Umejuaje kama unawezana nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Geuza hili tangazo lako liwe la kizungu kwa kuwa umelenga wazungu, ili tupate pa kuanzia
Usisahau kuandika hobbies zako na nini hasa unatamani kwa Msichana wa kizungu umtakaye
 
Unataka mzungu wa kunyandua na kumuacha au unataka uoe kabisa.
Kama una pesa njoo PM nikuunganishe na volunteers wangu wa kizungu.
Je unaweza kula jicho la mzungu ukipewa?
Maana baadhi yao ndio raha yao.
 
Nenda Skype utampata ila uwe mkweli maana wenzetu hawapendi uongo huwa hawasamehi kuacha dk o au tafuta wafadhili(foundation)ya watoto yatima au shule utampata
Skype nna connect nao vipi?
 
Unataka mzungu wa kunyandua na kumuacha au unataka uoe kabisa.
Kama una pesa njoo PM nikuunganishe na volunteers wangu wa kizungu.
Je unaweza kula jicho la mzungu ukipewa?
Maana baadhi yao ndio raha yao.
Masuala ya jicho hapana mkuu pia kutoa pesa kwa ajili hiyo sitoweza.
 
Tembelea maeneo wanayoatikana uwe familiar nao.

Jaribu na Dating app/site _ ujuwe mada ,za kuzungumza without being boring... ni lazima uwe vizuir kwenye conversation punguza maswali kama interview, weka story nzuri

Jaribu na app za kujifunza lugha kama tandem na hellotalk, unaweza ukapata wenye mpango wakuja huku
 
Lifestyle yako ni ya wazungu tuu!?
Unaamini Hakuna mwanamke wa kiafrika mwenye lifestyle hiyo?
Una uhakika kila mzungu yupo kama ulivyo au kama unavyofikiri?

Kila la heri lakini
unajua life staili yake ni kuingiliwa na dildo na mwanamke,hizo wanaweza wazungu
 
Dating site zipi ni nzuri?
 
Nenda kwa familia ya Malkia Elizabeth kawaambie wewe ni mwanajuiya wa madola na unahitaji mke wakizungu.

Hapo fasta yani unapigwa pingu za maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…