Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
[emoji1][emoji1][emoji1]ndoroooooboooe!
hhahaha daah haya bana umeshinda
Wasanii wetu bado wanafursa kubwa sana ya kuwa kama hao wanaotoka Nigeria,ila kwa sasa wako kimatumizi sana kuliko kuwekeza kwenye vitu vya msingi.Na kitu kingine pia nidhamu ya fedha ni tatizo.
acha tambo tumaUnajua mimi nakushangaa sana unavyokimbizana na mimi!
mimi nina maisha yangu.. nilishamaliza uzazi muda nalea wajukuu
unadhani kila demu anaeandika JF ni danga umepotea
ni vile hawaruhusu kutag mambo private ningekutumia website yangu ya uzeeni ukachoke!
sikunyingine usipende kuzoea watu, kama una njaa sema usaidiwe.. kunitukana mimi Jela miezi 6!
huu mziki uskize vzuri
kweli kabisa! Mashauzi Classic Baby!Wasanii wetu bado wanafursa kubwa sana ya kuwa kama hao wanaotoka Nigeria,ila kwa sasa wako kimatumizi sana kuliko kuwekeza kwenye vitu vya msingi.Na kitu kingine pia nidhamu ya fedha ni tatizo.
kwa sababu nchi yenyewe ina wajinga wengi wanaopenda kufutalia mambo ya kijinga zaidiHalafu kingine nachoshangaa kutokana wingi wawo wa watu wanaotumia mitandao unakuta Celebrity mkubwa ana followers 100 K ila ukija Bongo Celebrity kajamba nani ana Followers Milioni 1.
Ha ha ha hkweli kabisa! Mashauzi Classic Baby!
hahahahahahha unajua utafungwa wewe! shauriakokwa sababu nchi yenyewe ina wajinga wengi wanaopenda kufutalia mambo ya kijinga zaidi
huku tunapeta tu..hizo sheria mwisho ni whatsapp.twitter. fb na Ighahahahahahha unajua utafungwa wewe! shauriako
usisahau sheria ya mitandao!
haki nimecheka sana
Unajua ukifungwa sitakuletea CHAI!huku tunapeta tu..hizo sheria mwisho ni whatsapp.twitter. fb na Ig
hahaaa mpwa umeanza kunikana mapema hivi ??Unajua ukifungwa sitakuletea CHAI!
Ohooo!
SHAURIAKOhahaaa mpwa umeanza kunikana mapema hivi ??
TUPE TUPE MABADILIKO HAPONimekuja Joka Jeusi