Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahamastaa wa kike wa bongo hawana walilobakiza zaidi ya kukimbizana na viben-10
Nigeria mbali mkuu .
Hapo kenya tu Akothee naona yko vizuri pia .Sema yule Dada nae kadata kama mwehu fulani hivi
page za udaku za watz zina followers wengi kushinda page za watu wanaotoa elimu ya ujasiriamali, msaada wa kisheria,elimu ya uraia nk.Halafu kingine nachoshangaa kutokana wingi wawo wa watu wanaotumia mitandao unakuta Celebrity mkubwa ana followers 100 K ila ukija Bongo Celebrity kajamba nani ana Followers Milioni 1.
hahahahahahpage za udaku za watz zina followers wengi kushinda page za watu wanaotoa elimu ya ujasiriamali, msaada wa kisheria,elimu ya uraia nk.
hii inatoa reflection kubwa kuhusu kiwango na aina ya elimu waliyonayo vijana wa kitz.
ndio maana wabongo (wakiwemo mastaa na wadada wadangaji) hawapo active twitter cos ni ngumu sana kui entertain ujinga twitter ukapata followers 10K.
twitter ipo decent sana.
Elimu elimu elimu! Celebrity wa ki Nigeria mwenye elimu ndogo ana degree. Ndiyo maana tunasema ukisoma unajikomboa hata ukitaka kuwa mwizi au Malaya utaifanya vizuri inavyotakiwa, lakini hawa wa kwetu asilimia kubwa ni form four failures na darasa la saba, halafu pia wengi wa celebrity wa ki Nigeria wametoa kwenye familia nzuri. Sisi wa kwetu wengi ni watoto wa uswazi halafu hawataki kubadilika,
Hapana, Mume ndio alikuwa BoyFriend wanguUliwahi kutoka na ben 10
Hapana, Mume ndio alikuwa BoyFriend wangu
Amenipita miaka 15
sijaelewa ulichoandika bossSasa hao celebrett huko kwa vitoto wanatafuta cassava au kick?
sijaelewa ulichoandika boss
rudia kuandika vizuri
Nije wapi jamani!