Natamani Ma-Celebrity wa Bongo wangekuwa kama Ma-Celebrity wa Nigeria

Natamani Ma-Celebrity wa Bongo wangekuwa kama Ma-Celebrity wa Nigeria

Naijas hao akili kubwa. Ndio the most intelligent Africans. Tatizo lao uchawi tu. Kuna my ndugu mmoja naye mdangaji. Alipata bwana mnaija(igbo) jamaa ni medical scientist profession yake. Ila nkaja kuchoka anamuuliza kimwana mganga mzuri hapa Tanzania. Nkaona duuuh!
 
samahani unaongea ni mimi au JF?
ukimuona kwenye hizo movie anawaka ka katoka familia bora asee, kumbe kudanga.com njaa kali, wakat namgegeda akadai anataka nimpe mtoto (mimba) hatanisumbua, atalea yeye, kwa hali ya pale anapoishi sidhani kama hata kama yeye anajiweza kwa chakula hata kodi japo itakuwa kidogo lakini itakuwa inampa changamoto
 
Naijas hao akili kubwa. Ndio the most intelligent Africans. Tatizo lao uchawi tu. Kuna my ndugu mmoja naye mdangaji. Alipata bwana mnaija(igbo) jamaa ni medical scientist profession yake. Ila nkaja kuchoka anamuuliza kimwana mganga mzuri hapa Tanzania. Nkaona duuuh!
IGBO MAN WAZURI SANA
KULIKO YORUBAS AND WALE WENGINE SIJUI WANAITWAJE NIMESAHAU
 
Naijas hao akili kubwa. Ndio the most intelligent Africans. Tatizo lao uchawi tu. Kuna my ndugu mmoja naye mdangaji. Alipata bwana mnaija(igbo) jamaa ni medical scientist profession yake. Ila nkaja kuchoka anamuuliza kimwana mganga mzuri hapa Tanzania. Nkaona duuuh!
Kazi na dawa[emoji23][emoji23][emoji23]
wenzenu wanachanganya vitu vyote Uchawi na sayansi
tatizo letu sisi tunabase upande mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi na dawa[emoji23][emoji23][emoji23]
wenzenu wanachanganya vitu vyote Uchawi na sayansi
tatizo letu sisi tunabase upande mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha noma sana. Ni kweli tupu.
Huku kusoma hatutaki. Kazi kuwanga na majungu.
Kule kusoma kikwelikweli na kuroga kikwelikweli.
 
Wanawake hao hao wa Nigeria wanasifikana sana kuwa na sifa za Wema Sepetu na Hamisa Mobetto za kuwaroga wanaume hata wakienda Ulaya huwa wanafanya hivyo hivyo. uzuri ni kwamba wakifanikiwa wanafanya ya maana ila hapa Bongo wanashindania kujulikana na kutambiana ya ujinga.
heheheheh
Happy New Year bro
 
Kama yule Ini Edo ana maapartments mia kidogo....yaan ye kila wiki anabadilisha ndinga mpya na za maana only!

Hadi Tonto Dikey mvuta bangi, kicheche nae tajiri mbaya yaan...chinekeeeee

Mi namkubali sana tontoh dikeh, ya anavuta bangi na Ana danga kwa wanaume wenye pesa , yan yuko vzur sana Yule , now wako dubai na bobrisky wanakula maisha tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi namkubali sana tontoh dikeh, ya anavuta bangi na Ana danga kwa wanaume wenye pesa , yan yuko vzur sana Yule , now wako dubai na bobrisky wanakula maisha tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
meona ee
nimemwona snapchat doh rahaa
 
Elimu elimu elimu! Celebrity wa ki Nigeria mwenye elimu ndogo ana degree. Ndiyo maana tunasema ukisoma unajikomboa hata ukitaka kuwa mwizi au Malaya utaifanya vizuri inavyotakiwa, lakini hawa wa kwetu asilimia kubwa ni form four failures na darasa la saba, halafu pia wengi wa celebrity wa ki Nigeria wametoa kwenye familia nzuri. Sisi wa kwetu wengi ni watoto wa uswazi halafu hawataki kubadilika,
Elimu ,Elimu,Elimu ndio kila kitu
 
Back
Top Bottom