Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Daaaah!!Habari zenu wakuu,
Sijui ni kawaida?? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, mekua nkitamani
Wife material kabisa wewe ujue..Habari zenu wakuu,
Sijui ni kawaida?? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, mekua nkitamani siku nkiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume
Subiri mapovuHabari zenu wakuu,
Sijui ni kawaida?? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, mekua nkitamani siku nkiolewa baada ya muda
Una hamu ya kuroga mtu.Habari zenu wakuu,
Sijui ni kawaida?? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, mekua nkitamani siku nkiolewa baada ya muda kadhaa
Na apewe ulinzi pia, maana huyu ni rasilimali ya nchiUjengewe sanamu posta..
Hapo ni wewe umevaa viatu vyake ukaona unavyokosea ila yeye anajua anachotaka na madhara yake.Duuh inaelekea:
1.Una wivu sana ndio maana unataka aoe mke mwingine umuonyeshe upendo wa kweli uko wapi
2.Unapenda kushindana na mwenzio tu katika mahaba mkomeshane
3. Umezoea threesome sex, au unaitamani walau uone ikoje
4. Hujui maana halisi ya Upendo
Yani Kuna mtazamo mingi kiasi kwamba nashangaa mnoo, maana hata wanaoolewa Mathna(mke mwenza) wanasikia maumivu moyoni ila watakubali sababu ni Dini