Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

Hakuna mwanamke imara Kama wewe. Umekuwa mkweli kwa nafsi yako. Hao wanaokuponda wanafiki tu, wanajidanganya. Mwanaume hana mke mmoja. Bora umempa ruhusa.
 
Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.

Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe mke mkubwa afu mme wangu nimruhusu aoe mwingine ambae natamani tuwe na amani. Nawaona wake za baba yangu mkubwa yaani wanapendana huwezi Dhani ni wake wenza.

Japo kwa dini yetu ya kikristo wanaamini ni dhambi but.

Personally nimeyatamani sana haya maisha.
Kama wewe mkristo,ndoa za kikristo hazina mwanya huo.Badiri dini mrembo
 
Ajabu ni kuwa hata baada ya hiyo ruksa yafuatayo yanawezekana
-HATAKUBALI.

-AKIKUBALI BADO HAITAMAANISHA NDO UAMINIFU KWENU WAWILI UTAKUWEPO.

-YAWEZA IKAWA CHANZO CHA KUONDOKA HIYO AMANI UNAYOAMINI ITAKUWEPO KAMA ILIVYO KWA MAMA ZAKO WAKUBWA.

Mwanadamu tu ni kiumbe complex sana.
Sana yani.
Fanya na Amua kwa open mind kuwa ni kitu unakitamani na ni aina ya ndoa unawish uwe nayo..
Ila USITARAJIE SANA, uwe tu flexible with human behaviours and life kwa ujumla.
 
Mwenyewe huwa nawaza ka wewe mleta mada mume awe hata na wake sita hivi ili kunipa na mimi mda wa kutimiza ndoto nikiwa busy na kazi zangu pia maana kikubwa mimi kwa mwanaume ni kutaka watoto sasa nikiwa nao tayari furaha yangu yeye ahangaike na hao wake wengine tena ubusy huo hata kugombana na kusumbuana inakuwa kidogo mno.
Aiseee!
 
Shida yako watoto tu? Mbona sperm donors wamejaa hapa duniani.
Sio kila sperm donor wakumzalia aisee lazima kuangalia na mtu na mtu lazima kuwa na calculations kali na kuangalia faida hasa kuliko hasara kabla ya kuleta viumbe duniani.
 
[emoji23][emoji23]ndio sasa nitake kingine kipi ndio maana napenda mwanaume awe na wake hata mia
Unaweza kuwa uko sahihi.
I think na age pia inachangia, na shared life experiences pia.

Hii ndo mahali dunia imefika sasa.
Mi nakuelewa.
Lakin in reality, maisha ya ndoa na mahusiano hayakaribishi sana aina hii ya utayari.
Kuna vitu tu huwa vinafikisha watu hapa.
Which still, bado ni uhalisia wa maisha.

So your right love.
 
Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.

Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe mke mkubwa afu mme wangu nimruhusu aoe mwingine ambae natamani tuwe na amani. Nawaona wake za baba yangu mkubwa yaani wanapendana huwezi Dhani ni wake wenza.

Japo kwa dini yetu ya kikristo wanaamini ni dhambi but.

Personally nimeyatamani sana haya maisha.
Mungu akutunze weee dada ....
 
unatamani kitu ambacho unaonekana hukijui
 
Akili yako famba kweli.....
 
Unaweza kuwa uko sahihi.
I think na age pia inachangia, na shared life experiences pia.

Hii ndo mahali dunia imefika sasa.
Mi nakuelewa.
Lakin in reality, maisha ya ndoa na mahusiano hayakaribishi sana aina hii ya utayari.
Kuna vitu tu huwa vinafikisha watu hapa.
Which still, bado ni uhalisia wa maisha.

So your right love.
I'm old enough na jinsi na grow I have learn to live the life I want, pia nimeona dunia hii expectations za ki depend kwa watu au rules za kijamii huwa zinatesa watu, I prefer open relationship bila kuwa na attachment ya kusumbuana na vile pia kuliko kuwa na unafiki au commitment ya ndoa moja huku miteso hapana
 
Back
Top Bottom