Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

Kwenye kikao kijacho tutakubaliana yafuatayo:

Mosi, ujengewe sanamu tatu- moja katikati ya Jiji la DSM pale mnara wa saa ama Askari monument, na nyingine pale Dodoma sambamba na sanamu ya sanamu ya Nyerere pale Nyerere Square.

Na nyingine ndogo pale mnara wa saa Arusha jiji kubwa la Utalii nchini.

Halafu, utapewa ulinzi wa kudumu maisha yako yote.

Then, utapewa phD ya heshima ya masuala ya mahusiano.

Na mwisho kabisa utapewa ubalozi wa kudumu wa wife material Duniani.

Hayo ndio yatakuwa maadhimio ya kikao chetu kijacho
 
Hahahaaa. Mkuu si ajabu akaifutilia mbali hii kauli.

Japo naona vile wanaume mumependa hilo bandiko lake mana wengi ndo wanavyopenda hivi.
Sababu yake amevutiwa na wake wa Baba yake mkubwa wanavyo pendana, amesahau kuwa nyie ni waigizaji wakuu.
 
Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.
Dah ukwapi nakutafuta, umepata sifa ya kua mke bora
 
Mwenyewe huwa nawaza ka wewe mleta mada mume awe hata na wake sita hivi ili kunipa na mimi mda wa kutimiza ndoto nikiwa busy na kazi zangu pia maana kikubwa mimi kwa mwanaume ni kutaka watoto sasa nikiwa nao tayari furaha yangu yeye ahangaike na hao wake wengine tena ubusy huo hata kugombana na kusumbuana inakuwa kidogo mno.
 
Haya ndio yaliyopo kichwani mwako Ila unajaribu kumpandikizia mtoa mada.
 
Kama kwa mumeo unataka watoto tu Bora usiolewe
 
Hongera sana kwa kujitambua, hapo mwanaume anakua hakukeri/kukulazimisha kuhusu tendo la ndoa wakati wewe hujisikii/huko tayari
 
Wewe jasiri sana aisee, yaani uko tayari kuja kuingiziwa moto na kitu ambacho una uhakika kimetoka kuchovya kwenye papuchi nyingine
 
Hii ni gia ya kutafuta mchumba humu
 
Shida yako watoto tu? Mbona sperm donors wamejaa hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…